• Urembo Na Vipodozi

  AFYA ZAIDI CONSULTANTS tunatoa huduma za kuelimisha na kushauri watu na jamii juu ya urembo na vipodozi.
  SOMA ZAIDI..
 • Afya, Magonjwa, Dawa, Vyakula

  Pia tunatoa huduma ya kwanza na kusambaza taarifa za afya, bidhaa na vituo vinavyolinda na vinavyosaidia afya ya jamii.
  SOMA ZAIDI..
 • MUDA WA OFISI

  • J'tatu - Alhamisi
   8.00 - 17.00
  • Ijumaa
   9.00 - 18.00
  • Jumamosi
   9.30 - 17.30
  • Jumapili
   9.30 - 15.00
  Omba Apointment

Pata ushauri kuhusu Afya,Dawa, Lishe, Urembo na Vipodozi
Piga +255 659 528 724

 • HATUA NNE (4) MUHIMU KUELEKEA KUPUNGUZA PRESHA

  HATUA NNE (4) MUHIMU KUELEKEA KUPUNGUZA PRESHA

  Habari rafiki yetu wa AFYA ZAIDI CONSULTANTS! Bila shaka unaujua ugonjwa wa presha ya damu na unajua ndugu, jamaa au rafiki ambaye anasumbuliwa na tatizo hili. Kimsingi presha ya damu huanza kupanda polepole na kuja kuwa ugonjwa baada ya muda mrefu. Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi hawana utamaduni wa kucheki afya zao mara kwa

  Read more
 • AFYA ZAIDI CLUB

  AFYA ZAIDI CLUB

  Hello! Tunapenda kukufahamisha kwamba AFYA ZAIDI CONSULTANTS tumepiga hatua zaidi na sasa tumeanzisha Club ya afya maalum kwa ajili yako. Club yetu inaitwa AFYA ZAIDI CLUB, na lengo kuu ni kukupa kila kitu ndani ya sehemu moja ili kukuokolea muda na pesa zako. AFYA ZAIDI CLUB ndiyo mahali pazuri zaidi kwako kupata huduma zote za

  Read more
 • Krimu zinazoweza kukusababishia michirizi

  Krimu zinazoweza kukusababishia michirizi

  Hello! Napenda kuchukua fursa hii kuwashauri kuhusu krimu zenye dawa na kuweza kusababisha michirizi. Kwa faida ya nyogeza nitawajulisha sababu ambacho huchangia michirizi kwa kiasi kikubwa ambazo ni: 1. Mwili kuongezeka au kupungua kwa haraka – Mfano kunenepa, mimba kukua, mwili kujengeka kwa mazoezi ya kujenga mwili nk 2. Dawa zinazoathiri tishu (collagen) zinazounganisha na

  Read more
 • PUNGUZA UZITO BILA STRESS

  1. Jua uzito uliozidi na kisha weka malengo na mpango mzuri wa kuupunguza 2. Fanya mazoezi ya kupunguza uzito 3. Kula aina ya chakula na kiasi ambacho kinaendana na mahitaji ya mwili wako 4. Tathmini maendeleo yako na kisha boresha mpango wako 5. Kama uzito umeanza kupungua endelea na mazoezi na ulaji unaofaa hadi ufikie

  Read more